chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Hivi tuzo za kili zinawasaidiaje wanamuziki.maana kuna mtu ameshapata tano kwa mkupuo na simsikii tena
Popcorn za sukari zinahusika hapa. Wasije wakambebesha sembe na ufadhili huo. We need a black party kwanza
Aiseee, we jamaa umeuaAisee Kiba anatakiwe amshukuru Mondi kwa kumchukua Zari ama sivyo ufadhili kama huu angeusikia kwenye bomba!
Tatizo ni managment hana .
That is a one local attention seeking nigga, i don't why y'all giving him this much of your time. Kiba should not even bother.
And Zari, she is nothing but pro golddigger, she is simply using Diamond as a platform to milk whatever she can. Once she is done with him, she'll move to the next hot nigga.
Yaan bila Mond kiba hawez sikika directly or indirectly... Na wema kanishangaza sana maana anachofanya anafanya kusudi akihisi kuna mtu anamkomesha ila ndo kwannzaaaa anajipunguzia heshima
Naona watu mnadiss tu kiba bila sababu za msingi. Kama mmeona personal issues kwa hao wanaomsupport ni wao kama wao wala Kiba hazimhusu. Hakuwalazimisha ni wao wameamua au mlitaka awakataze?? Alafu ili iweje sasa?
Wema angemsupport mondi mngesema anajipendekeza, kamsupport Kiba bado mnasema stress, hata angemsupport Jux au Barnaba nina uhakika na penyewe mngepata tu la kuongea!!
Haya uwanja ni wenu, nasubiri na Vera Sidika nae mumtolee sababu zake za kuamua kumpigia kura Kiba.
Nyota y domo hata wazibe n kaniki nyeusi itangaraa tuu........huyo wema n kiba akili zao sawa tu instead wafanye maisha yao wanashindana n domo.kiki w wezi kuvamia banda lake imekosa washabiki
Mkuu mi mwenyewe nawashangaa, kwani ali kiba hana haki ya kuwa supported na wema?
Yaani of all things Ally Kiba ndo aje atafute kick ya kuvamiwa kweli na time yote hiyo alokuwepo kwenye game? Really???
Anyways naomba nisikukatalie sana maana wewe ndo unaeziona akili za kiba na za wema zipo sawa japo mi naona tofauti kwa maana mambo ya Wema Kiba hayamhusu na mtu kuamua kumpigia kura ni choice yake kwani hata kama Wema au Ivan wasingempigia promo bado Kina Avemaria tungepiga tu sasa sijui na sie mngetusemea kipi.
Thats why mie nilimuongelea Ivan kama Ivan wala nisitake kumuinclude Kiba.
Mkuu mi mwenyewe nawashangaa, kwani ali kiba hana haki ya kuwa supported na wema?