Rich Mavoco ngoma yake mpya ''Wanakutamani'' ni shida...

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,045
Reaction score
28,216
Nimetokea kuikubali sana hii ngoma.Ni ngoma flani ukiwa home na mchumba wako,girlfriend au hata mke mnasikiliza huku TARATIIIIBU unachezea nywele zake.
Well done Mavoco
 
Hakuna kitu wimbo mbovu mavoko toka aende Madale haeleweki anaimba nini.
 
Jaman mpala kuwe na jukwaa la makanikia ndio mjue akili zetu zipo wapi?
 
Unaongelea ukari wa ngoma bila hata kui-upload hapa..!
weka nasi tuitathimini..
 
hyo nyimbo yenyewe ndo maneno hayo ulioandika au
 
mikono mitupu hailambwi weka ngoma tuchangie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hili jukwaa lilikua la kupunguzia msongo wa mawazo ila siku hizi limekua kimeo,weka ngoma tusahau balaa la Chenge.
 
Mie naona wimbo wake wa Sheri yupo na fid q ndio angeutoa official ni bonge la ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…