kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Msanii huyo anapotea kwa kasi sana kwenye anga la muziki. Kwa miaka miwili lawama juu ya udhaifu wake walitupiwa Wasafi.
Ni muda tangu ajitenge na mafanikio na kuwa peke yake. Tatizo lake huyo kijana ni nini hasa hadi anashindwa kutoboa na kuwa msanii mkubwa mwenye mafanikio?