Rich Mavoko amekwamia wapi?

kilimbamula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,792
Reaction score
853
Msanii huyo anapotea kwa kasi sana kwenye anga la muziki. Kwa miaka miwili lawama juu ya udhaifu wake walitupiwa Wasafi.

Ni muda tangu ajitenge na mafanikio na kuwa peke yake. Tatizo lake huyo kijana ni nini hasa hadi anashindwa kutoboa na kuwa msanii mkubwa mwenye mafanikio?
 
Tunavyojadiscuss wengine utadhani sisi tumetoboa kwenye mishe zetu.
 
Tunavyojadiscuss wengine utadhani sisi tumetoboa kwenye mishe zetu.
Kweli mkuu, sisi watanzania tunapenda sana kutupia wengine lawama...
Mtu wa namna hiyo ukute hajafanya lolote la maana iwe kazini hata kwenye biashara, sasa si bora Mavoko ambaye hata wanakaa kumuanzishia nyuzi humu!
 
Amezingua sana huyu Nguli wa bongo flavour kuondoka WCB...
 
Nchi hii bhana, hata ikinunuliwa Ambulance pongezi anapewa Rais kama katoa hela zake mfukoni, lakini Taifa stars ikifungwa lawama wanapewa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…