Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kwanini mkuu..Haitawasaidia.
Cha msingi mkono uende kinywani mkuuKwa hiyo ametoka kunyonywa amehamia kufyonzwa.
Kawaida mkuu mbona si anatafuta hela??: hahahahahahahahahahaha anatapatapa wanatapatapa
Kwa hiyo ametoka kunyonywa amehamia kufyonzwa.
Mtu anayejiita baby boy mara nyingi huwa namuangalia kwa utofauti sanaHatimaye cmg wameamua Kumsajili mavoko kwenye list ya wasanii watakaoperfom fiesta ya moshi.. Itakayopigwa ndani ya uwanja wa Majengo...
Wewe siku moja utakuja kutembea uchi!Mtu anayejiita baby boy mara nyingi huwa namuangalia kwa utofauti sana
kwani we umeelewaje? halafu leo ndo mara ya kwanza naona post yako hpa JF hebu nikumbushe kama nimeshawahi kuku quote huko nyuma...Wewe siku moja utakuja kutembea uchi!
chuki zitakuua.. nimekusoma toka kitambo sana.. acha shobo chinga!
vyovyote vile.. na we kwani umeelewaje???kwani we umeelewaje? halafu leo ndo mara ya kwanza naona post yako hpa JF hebu nikumbushe kama nimeshawahi kuku quote huko nyuma...
true meaning of baby boyvyovyote vile.. na we kwani umeelewaje???
na Kama ndo mara yangu ya kwanza nini Shida??
Pole sana Bwana chinga!.. mitumba inakusubiri huko....kwaheri!!true meaning of baby boy
🚮Pole sana Bwana chinga!.. mitumba inakusubiri huko....kwaheri!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] AiseeeMtu anayejiita baby boy mara nyingi huwa namuangalia kwa utofauti sana
mwana pipo wanazingua sana humuGood sana
Mkuu huenda jamaa yuko sahihi baby boy mbona kama wasiwasi kdgWewe siku moja utakuja kutembea uchi!
chuki zitakuua.. nimekusoma toka kitambo sana.. acha shobo chinga!