Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Hizi ni I'd fake tuu.. zinaficha mambo mengi!.. anyway santorini ni nini??..Mkuu huenda jamaa yuko sahihi baby boy mbona kama wasiwasi kdg
babyHizi ni I'd fake tuu.. zinaficha mambo mengi!.. anyway santorini ni nini??..
na ubaby Boy wangu unahusiana nini na Mada????.. acheni shobodundo..
Ni wakuda sana mzazi shobo nyingimwana pipo wanazingua sana humu
Huyo hata hajui anachokitafuta.Kawaida mkuu mbona si anatafuta hela??
Santorini ni kisiwa cha kula bata kipo greece,na ndo mimi nipo hapa saa hizi napigwa na upepo mwanana wa meditranian seaHizi ni I'd fake tuu.. zinaficha mambo mengi!.. anyway santorini ni nini??..
na ubaby Boy wangu unahusiana nini na Mada????.. acheni shobodundo..
Nabadilisha mwana...manake imekuwa sooNi wakuda sana mzazi shobo nyingi
Badilisha tu ibaki Pancho boy uachane nao kiroho safi au kama huwez badilisha bas yeyote atakayekuja na shobo nyingi usimjibu chochote
HahahaAsubiri uchaguzi tu ndio atapiga show hadi Mbande
Mmh!.. bado ana mkataba??.. lakini zile si ni show tuu anafanya kama wanavyofanya wakina kondeboy huko nje??Mavoco anategwa bila kujua,bado anamkataba na WCB akipanda jukwaani,ajiandae na kupanda kizimbani.
Nani tena huyo "hendisamu meni "..dada???Habari nzuri
Handsome man😁
Ouk.. ila yeye mwenye jina ameshindwa kujibu??Santorini ni kisiwa cha kula bata kipo greece,na ndo mimi nipo hapa saa hizi napigwa na upepo mwanana wa meditranian sea
Mwenzako anatafuta pesa.. we unasema hajui anachokitafuta??Huyo hata hajui anachokitafuta.
kweli mkuuHizi performance za majukwaa zinawajenga sana wasanii. Msanii sio studio peke yake.
Kucheza mbele ya mashabik ni muhimu saaana. Safi Mavoko
acha roho ya kichawi.Haitawasaidia.
Basi itawasaidia mkuu.acha roho ya kichawi.
unataka jamaa aje kula kwako??
Watu hawataki wenzao watafute pesa..acha roho ya kichawi.
unataka jamaa aje kula kwako??
mkuu atajulia wap huyo yuko nanjilinji huko mambo ya Santorini WAP na wap ila sio mbaya pia mi mwenyew nina mijengo yangu Mingi tu kwenye hicho kisiwa japo nakaa mkoani hukuSantorini ni kisiwa cha kula bata kipo greece,na ndo mimi nipo hapa saa hizi napigwa na upepo mwanana wa meditranian sea