Rich mavoko atafika mbali asipobadilika

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Nipo Iringa ukumbi wa Club VIP, kuna show ya huyu kijana Rich mavoko, imenivutia sana, licha ya watu kutokuwa wengi sana ( huenda kutokana na kutofanya matangazo ya kutosha au kiingilio kuwa kikubwa , Elfu kumi ) kijana hajapanic na kuwa disapointed, amepiga show nzuri licha ya kwamba mwanzoni mashabiki walikuwa wamemchunia, akawa anaimba anawaomba wamfatilizie lakini wakawa mute, aliendelea kutabasamu na kuzidi kuperform, mwishowe mashabiki wenyewe wakajaa dancing stage na kuanza kuimba nae. Muda wote alikuwa na smiling face, hana malingo wala hajisikii lcha ya kwamba kwa sasa ni miongoni mwa wasanii walio juu.
He is such a humble guy, hajisikii kabisa, dogo kazana utafika mbali, funs wako ndo mtaji wako
 

Ana shida gani wakati mkwanja wake kashaingiza? Kazi yake ni kuperform tu,hata akikuta watu laki moja au watu 10 kwenye show mkwanja wake ni ule ule haubadiliki.
 

Unamuonea huruma au unamsifia?..
 
Dah... mtoa mada hivi una habari kwamba heading yako pamoja na content ni full contradicting?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…