Rich Mavoko kwa wimbo huu usipoangalia utapotea na tutakusahau

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Waungwana nimeiona video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko uitwao ndegele ikiwa ni wiki kadhaa baada ya yeye kujitoa WCB.
Kiukweli naona ni wimbo wa kawaida sana na asipoangalia atapotea bora ajaribu kuungana na Aslay!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
rich yupo katika hari mbaya,yani video mwanzo mwisho nguo ile ile.
 
Ngoja tuendelee kumpa muda, lakini asipouonyesha ule u rich mavoko wa miaka ile. Muda utaamua.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 
I like WCB, but nafurahi pia kuona mtu anaposimamia anachokiamini. Let Mavoko try again msimkatishe tamaa wote tunatafuta huwez jua wapi utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…