Rich Mavoko ndani ya WCB kunani?

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
2,104
Reaction score
2,073
Wakuu na wadau wa jamvi hili habari!

Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti tu,hivi ni nini kinaendelea pale wcb kuhusu rich mavoko na mpango wake wa kazi...maana wenzake wamekuwa wakiachia ngoma kila leo,ila yeye yupo kimya muda mrefu sasa,na hata kupost insta amepunguza,yani c kuhusu kazi tu hata kazi nyengine za wcb amekuwa anazikazia.

-Jee,Rich mavoko anabaniwa pale wcb?
-Jee, Kasi yake ya kutoa nyimbo ndo inamuangusha hivyo kushindwa kuendana na kasi ya wcb?
-Jee,zamu yake bado?kama ipo hiyo zamu.
-Jee,yupo bize na maandalizi ya album yake anayosema ataichia soon?

Kama kuna za chini ya carpet ningeomba tujuzane,ili sie mashabiki nyoyo zitutulie kdg.maana this is not normal.
 
Mashabik nyonyo
Kanyonye bhas [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
viba100 team kiba100 uyu mtoa mada.. ametumwa kujuwa habari za mwanaume mwenziye
 
Nadhan wanatoa nyimbo kwa zamu... zamu yake bado ila wakati unamsubiri jiburudishe na wimbo wa RUDI.
 
Za chini ya carpet Ni kwamba
Richard yuko bizzy na album yake sababu WCB nzima wanampango wa kuachia album zao
 
Mavoko , njoo ujibu maswali huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…