Rich Richie na Ghorofa la Mbweni

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu wana JF,
Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja maeneo ya mbweni full walinzi masaa 24 pamoja na kununua Rav4 new model,aisee kumbe bongo movie inalipa kihasi hiki? Au mambo ya bwimbwi.com?
 

Aiseeh!! Nimefurahi kusikia hii habari, ila jamaa nasikia yupo poa toka zamani ila sidhan hayo mafanikio yanatokana na filamu, maana hana kazi nyingi sana na kazi zake uwa hazifanyi sana vizur sokoni kama movies za JB,Odama,nisha, RJ company na wasanii wengine, so nadhan atakuwa na mishe nyingine anafanya
 
Kati ya wasanii ninaowakubali wakiigiza huyo jamaa namba moja,kuhusu mali zake sina la kusema

Sema tu Viol jamaa ana ghorofa ya ukweli ni filamu tu?
 
Last edited by a moderator:

Ubuyu huo ngoja nimwambie jamaa kama ataweza anitumie whatsapp ya mjengo wake.
 

inawezekana binamu km benki imemuamini ikamkopesha milioni mia moja akajenga akalipa akamaliza vizuri mkopo akachukua tena za kumalizia mjengo mi richie namuaminia fighter yule
kujenga akili tu jamani na kujibana baas ndo maana utakuta watumishi wa kawaida wana majumba ila wengine wenye vyei hawana hy nyumba wanafia cotaz
 
Ubuyu huo ngoja nimwambie jamaa kama ataweza anitumie whatsapp ya mjengo wake.

Filamu za kibongo haziwez kumfanya ata muigizaji wa kawaida kujenga nyumba ya vyumba viwili wala kununua vits, wanaojidai wanapata pesa kwa ajili ya kuigiza hao ni malaya na mashog*, filamu zinawalipa ma producers tu, kama akina johari n ray, Jb, odama, nisha, wastara na baadhi ya priducers ila sio waigizaji, producers wanaweza kujenga na kununua magar ya kifahari ila sio wakina uwoya,wolper,lulu na aunty ezekiel wote uhuni tu
 
Sana, ana dharau na majivuno mno, ndio maana hapatani na wasanii wengine, richie anajisikia sana yule , japokuwa mda mwingine ana huruma, ila full madharau na anapenda sana mademu, yan hachagui japokuwa ana mke n watoto

Anaonekana tu na ule mdomo wake akiongea, ,ila hua anaigiza kiuhalisia kabisa anajitahid,,,halaf sio wa mascandal
Hivi Ray nimeamini alikua anatembelea nyota ya Kanumba yaan hasikikii hauziiiiii
 
Anaonekana tu na ule mdomo wake akiongea, ,ila hua anaigiza kiuhalisia kabisa anajitahid,,,halaf sio wa mascandal
Hivi Ray nimeamini alikua anatembelea nyota ya Kanumba yaan hasikikii hauziiiiii

Ray hajui kuigiza ila ni director mzur, ata kampuni yake ina ubora flani ivi tofaut na makampuni mengine, ila hapendwi na wengi, Ray anajisikia na yeye, hatakagi kabisa kuigiza movie za wasanii wenzie, ye na kampuni yake tu bhas, bora ata johar anaigizaga nje ya kampuni ila babu yule kwa kujifanya ye ndo bwana mkubwa wakat darasa la pili kama warumi tu
 

Hhhhhjaaa eti darasa la pili kama warumi,,anajionagaaa wakati alikua anabebwa na Kanumba
Hatimae kanumba tushamsahau Ardhi inameza jamanii
 
Escrow ahusiki nayee lol
... big up kwako daily mafNikio huja kwa mile unachofanya ..according to find q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…