mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Ubuyu huo ngoja nimwambie jamaa kama ataweza anitumie whatsapp ya mjengo wake.
Mwanaume kusema neno UBUYU wanaume halisi tunakutilia shaka utakua mchele mchele
mwanangu king kong amefeli sana kutumia hilo neno la kigashi!...
Mwanaume kusema neno UBUYU wanaume halisi tunakutilia shaka utakua mchele mchele
Ha Ha Ha Ha Inabidi Kuji-adjust kulingana na Jukwaa,mie nlijua ubuyu maana yake udaku kumbe linamaana nyingine? Natengua Kauli wadau.