Uchochezi ni nini?
Elezea ili watu waelewe..... ili mtu akichangia ajue huu ni uchochezi au sio uchochezi
Hahaa, hata darasani,...Wanafunzi magenius wanamchallenge MwalimuKuwa na mawazo kinzani au mbadala "kwetu" ni uchochezi.
itakuwa ni ule mwendelezo wa kuwakomesha watu wa kaskazini katika utawala huu, maana ki ukweli hizo hela zenu za utalii huku kwetu Nanyumbu hata hazifiki....mabilionea wa mahoteli Arusha / Moshi kazi mnayo