Uchaguzi 2020 Richard Ado anafaa kuwa Mbunge wa Tunduru 2020

Uchaguzi 2020 Richard Ado anafaa kuwa Mbunge wa Tunduru 2020

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Anaitwa Richard Ado Makupe mtoto wa marehemu Luteni wa jeshi miaka ya 1975-1978 ktk kikosi cha Lugalo Dar es salaam na baadae Kuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Mwanza enzi za vita Hashim Ado Makupe ambae alifariki.

Ni msomi mzalendo ambae aliwakatalia Wamerakani kwenda kwao alipomaliza kidato cha sita badala yake akaamua kujiunga na chuo kikuu Dar es salaam kitengo cha Ardhi,akimalizia shule ya msingi Kitete mkoani Tabora,Kazima sec Tabora na baadae Tumaini sec iliyopo Kinampanda Singida na A-level Uyui sec Tabora.

Amemuoa mtoto wa Brigedia wa jeshi marehemu Brigedia Mbozu,ajulikanae kama Regina Mbozu,msomi wa chuo kikuu Dodoma na chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino(SAUT)Mwanza

Uamuzi ni wenu Kwa msaada wa Mungu tumuaminiyo atasindikizwa jukwaani na ama mwañamuziki Diamond,Maua Sama au mlemavu wa ngozi aliyeimba wimbo mzuri na khadija Kopa na ambao umefichwa sijui kwanini,kwenye hotuba maarufu ya Mtwara kuchele.

Instagram:kaukwaju
 

Attachments

  • IMG_20181003_043946_758.jpg
    IMG_20181003_043946_758.jpg
    14.4 KB · Views: 55
Naona umeamua kuwa kuwadi wake. Any way nafikiri nimewahi seat ya dereva
 
Back
Top Bottom