Huyo Aliko na Eliud ni ndugu? Kila la kheri! Anayemaliza muda wake anasemaje?Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona.
Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na Aliko Mwaiteleke.
Mzee wa tuliza matakoDibo kazi anayo naona hakati tamaa
Ova
My DiboDibo kazi anayo naona hakati tamaa
Ova