Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
๐ ๐ท๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐บ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ต๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฝ๐ถ๐ป๐ฑ๐๐๐ถ (๐๐๐ ) ๐ง๐ฎ๐ถ๐ณ๐ฎ (๐ ๐ก๐๐), ๐ฅ๐ถ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฑ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฒ๐น๐ฎ, ๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ ๐ฏ๐๐ป๐ด๐ฒ ๐ฎ๐ ๐๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฒ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐๐ฒ๐ฎ ๐ป๐ฎ๐ณ๐ฎ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ฎ๐ท๐ถ๐น๐ฎ๐๐บ๐ ๐บ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ๐๐ฒ, ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐ฅ๐ฎ๐ถ๐ ๐ฎ๐บ๐ฒ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ
Kasesela alisisitiza kuwa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia zinawapa urahisi viongozi waliopo kuendelea na nafasi zao, na iwapo watashindwa, ni wao wenyewe watakaojilaumu.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ccm Daudi Yassin alipiga marufuku wanachama wanaoanza kufanya kampeni mapema, huku wale watakaokiuka na kuanza mapema watachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa kanuni za chama hicho.
Ameongeza kuwa, hadi sasa wabunge na madiwani wapo kazini, hivyo kufanya kampeni mapema ni kinyume na taratibu za chama huku akihimiza viongozi wa CCM kutanguliza masilahi ya chama mbele na siyo masilahi binafsi, kwani kupata uongozi ni mpango wa Mungu, na kama hajapanga upate, hutopata.