Richard Mabala an author, teacher and poet from Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
June 29, 2017
Dar -es-Salaam, Tanzania

Richard Mabala is an author, a teacher, a poet and a family man. And when he's not busy writing really funny stories for the papers or something for a new book, he spends his time fighting for the rights of Tanzanian youth, chief among them a right to have a voice as leaders and social entrepreneurs. Richard Mabala (Tamasha)
Source: TIMES FM TZ
 
Nasubiri hicho kitabu muendelezo wa Mabala the farmer
 
Hivi huyu anatokea kijiji GANI??

Ahaaa haaa haaa
 
Hivi huyu anatokea kijiji GANI??

Ahaaa haaa haaa
Ni mtanzania mwenye asili ya Uingereza ni mwalim kitaaluma , miaka ya 1970 alikuja Tanzania kama walimu wa kujitolea akapapenda na mwaka 1971 akarudi Tanzania baada ya mafunzo ya kujitolea akafikia tabora ,akabaishi na wenyeji wakampenda wanyamwezi wakawa wanamwita MABARA , maana yake mtu aliyetoka bara lingine ,hivyo jina lake la mwisho akaondoa akaweka Mabara , hivyo akaanza kusomeka Richard Mabala , na ameshachukua uraia wa Tanzania ,hivyo ni mtanzania na miaka hiyo hiyo ya 1970s alitoa hicho kitabu maarufu kwa sekondari , kiitwacho MABALA THE FARMER na baadae HAWA THE BUS DRIVER ,zote ni fiction lakini zenye kuleta ujumbe mzito kwa jamii na Hawa the bus driver baadae ikawa kweli jijin dar es salaam na kusambaa mikoa mingine ,pia ametunga kitabu cha mashairi kiitwacho THE SUMMONS OF EAST AFRICA

Kwa ,uchache ni hayo
 
Mabala for president... Agombee tu urais at least na sisi tuwe na rais Mzungu tuone.
 
tutaendelea kuandikiwa mitaala yetu na wazungu maana hatujashtuka,
hongera mabala karibu kwa taifa la watu wasiopenda kusoma vitabu na kuandika vitabu.
 
Hawezi kua ni Sleeper Agent?
 
Richard Mabala is the best no discussion.

He is the best.
 
Narekebisha kidogo, hajatunga kitabu cha Summons bali amekihariri tu. Ndani yake kuna mashairi ya watu wengine pia kama vile Kajubi, Isaac Mruma, F.P Lwamba, Sengondo Mvungi na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…