Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. πŸ˜…πŸ˜… The truth revealed


Don't forget to join your fellow team on comment section to enlarge the crying louder.
Buda lamba lolo..Kama pesa ni word ya britain ttaongea...tamaa mingi tafuta kamba ujinyonge
 
[emoji1][emoji1][emoji1]povu la arnild kwenye movie ya terminator hakika linaonekana
 
Yaani wanakesha kuresearch anything negative about Kenya. Kazi hamnaπŸ˜…πŸ˜…
 
Sababu yakipuuzi sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 

Don't forget to join your fellow team on comment section to enlarge the crying louder.

Sina hajaa ya kwenda huko maana kwenye social media kila mtu anaweza kujiita Mkenya, tunaye hata huku mwengine hujiita Mkikuyu timamu, cha msingi Mkenya aligundua Mpesa na hiyo imetosha, na tutaendelea kuvumbua mengi.
 
Yaani wanakesha kuresearch anything negative about Kenya. Kazi hamnaπŸ˜…πŸ˜…
They are like women scorned or a jilted lover who will do anything and everything to try and pin you down na katika hiyo harakati wanjipata gap kati yetu na wao inazidi kupanuka....$49 b Tanzagiza $88b Kunya.
 
Wabongo katika ubora wao, wivu na majungu kama kawa. Ingependeza zaidi kama mngetuambia kwamba M-Pesa chimbuko lake ni Tanzania.
 
They are like women scorned or a jilted lover who will do anything and everything to try and pin you down na katika hiyo harakati wanjipata gap kati yetu na wao inazidi kupanuka....$49 b Tanzagiza $88b Kunya.
They're retardedπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huwa wananishangaza tu
 
Kumbe hizi kunya zilibuni jina MpesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pesa is a Swahili name!
 
Wabongo katika ubora wao, wivu na majungu kama kawa. Ingependeza zaidi kama mngetuambia kwamba M-Pesa chimbuko lake ni Tanzania.
U were a pilot project nobody argues that! But chimbuko is far than what u can Brag about!
 
Mnabishana nini na facts zote zipo?

In 2002, researchers at Gamos and the Commonwealth Telecommunications Organisation, funded by Department for International Development UK (DFID), documented that in Uganda, Botswana and Ghana, people were spontaneously using airtime as a proxy for money transfer.[6] Kenyans were transferring airtime to their relatives or friends who were then using it or reselling it. Gamos researchers approached MCel[7] in Mozambique, and in 2004 MCel introduced the first authorised airtime credit swapping – a precursor step towards M-Pesa.[8] The idea was discussed by the Commission for Africa[9] and DFID introduced the researchers to Vodafone who had been discussing supporting microfinance and back office banking with Mobile phones. S Batchelor (Gamos) and N Hughes (Vodafone CSR) discussed how a system of money transfer could be created in Kenya. DFID amended the terms of reference for its grant to Vodafone, and piloting began in 2005. A student from Moi University in Kenya came up with a mobile software that could allow people to send, receive, and withdraw money from their mobile devices. Safaricom however convinced the student and bought the rights of ownership of this project hence becoming the sole owners of the patent rights. In April 2007, following a student software development project from Kenya,[10] Safaricom launched a new mobile phone-based payment and money transfer service, known as M-Pesa.[4]
The initial work of developing the product was given to a product and technology development company[11] known as Sagentia. Development and second line support responsibilities were transferred to IBM in September 2009, where most of the original Sagentia team transferred to.
Following a 3-year migration project to a new technology stack, as of 26 February 2017, IBM's responsibilities have been transferred to Huawei in all markets.


M-Pesa - Wikipedia
 
Ngoja usikie wakisema ati Wikipedia anybody can write.
 
Richard Quest hivi ndie wanayesema "hana marinda"
 
RRONDO, shukran jombaa, naona kwenye taarifa yako wanasema M-Pesa ilibuniwa na mwanafunzi kutoka Moi University, Kenya.
Mwanafunzi alibuni 'software' the whole idea ni ya Wazungu baada ya kutembelea nchi za Africa ikiwemo Kenya wakaona watu wakituma vocha vijiji ili waziuze wapate hela(ni rahisi kuliko kutuma hela). Dfid na taasisi nyingine za UK wakaweka hela research ifanyike kushirikiana na VODAFONE.

Hongera kwa kijana wa Moi Uni aliegundua software.
 
Yep kupitia software development project ambayo ilikuwa bado ipo kwenye masuala ya airtime na sio hela. Safaricom walimhadaa huyo jamaa na wakanunua software yake sijui kwa hela ngapi. I hope hata hapa Jf tunao wale ambao watabuni vitu kama hivyo, iwe mkenya, mtz, mganda sio ishu. Bora tu ije kuwa kwa manufaa ya sisi waafrika.
 
Itakuwa hela mbuzi kwasababu hakujua itakuwa kubwa kiasi gani?
 
Sio tuna lead. Sisi ni wachawi?? Mpesa imefail nchi nyingi ila imekubali EA. Hata Nigeria imefeli. UK wanatumia mfumo wa credit card sehemu zao zote za manunuzi. Hiyo nikwa nchi zote za ulaya. Huo umeshakuwa utamaduni wao.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tatizo shule haikukusaidia kufikili nje ya boxπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…