Ivi zile dollar laki moja zake zimeisha tayari?
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.
Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.
Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.
sekulu u r mad! umenichekesha kwa loud speaker lolest! jamani si amefunga ndoa na yule meryl, si nasikia alikwenda kuishi naye namibia! vimeishia wapi??? eti babake anaendesha nini?? kwikwikwi! u hav made my morning.Mwenzie Mwisho Mwampamba yupo moro anauza nyago na Ngedere na kucheza pool kwenye cafeteria ya SUA. Huku akigongea Gari za familia yake na huku akiacha baba yake anatembelea Baiskeli!
sekelu mi like ur avatar!Mwenzie Mwisho Mwampamba yupo moro anauza nyago na Ngedere na kucheza pool kwenye cafeteria ya SUA. Huku akigongea Gari za familia yake na huku akiacha baba yake anatembelea Baiskeli!
sekulu u r mad! umenichekesha kwa loud speaker lolest! jamani si amefunga ndoa na yule meryl, si nasikia alikwenda kuishi naye namibia! vimeishia wapi??? eti babake anaendesha nini?? kwikwikwi! u hav made my morning.
kamenipa raha! huyo mtu analia hivyo inaelekea ana matatizo makubwa sana! inaelekea pia ni kama mtu wa somalia, au middle east huko, ila hilo domo, mie hoi! lolest!No joke babake anaride bike!.ni mwalimu wa vifaa vya kilimo!. Ka avatar kangu kako sexy ama?