Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuu matola Huku ni udaku kwa kwenda mbele rudi kwenye jukwaa lako la siasaLabda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.
Labda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.
Mkuu matola Huku ni udaku kwa kwenda mbele rudi kwenye jukwaa lako la siasa
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.
Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.
Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.
Pana tofauti gani na magazeti ya shigongo?hivi celebrities maana yake ni udaku?...
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.
Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.
Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.
chanzo cha habari hii?...
japo na mimi nimemuona sana LALIGA ila sijajua kama ndo kafulia...mm najua anakula BATA tuu!
Pana tofauti gani na magazeti ya shigongo?
niaje pacha? Ishu niaje? Msalimie yule wa cku ile
hakuna cha ajabu lakini stori zenu binafsi za nini katikati ya post? Acheni kujifanya hamuelewi.
Kama mnataka kuleta michongo yenu tupianeni maPM as lon as hayatuhusu.
hahha anatumia kitu gani embu kuwa muwazi bwana live and direct BANGI,KUBERI,AU NINI mpendelee kidogo basi au unaogopa kupingwa ban hahahahahahahahahahNikisema unatumia ile kitu kufikiri utanilaumu kweli? Mtu anayelelewa anaweza kuninunulia bia? Halafu nani kasema mamboya bia jombaa? Au unataka kunitibua nyongo tu.