Don Calvino
Senior Member
- Mar 3, 2012
- 113
- 29
Mwenzie Mwisho Mwampamba yupo moro anauza nyago na Ngedere na kucheza pool kwenye cafeteria ya SUA. Huku akigongea Gari za familia yake na huku akiacha baba yake anatembelea Baiskeli!
how do u use $100,000 so quickly?? kuna haja ya washindi kutafuta washauri wa pesa maana inasikitisha kama kafulia baada ya muda mfupi kiasi hiki...
Matola mkuu wacha ushamba yani kutamka dolla ndo kuna kushtua dola 10,000/= ni sawa na 15,850,000/=sasa hii ni hela gani unayoiona kubwa wewe bana tatizo lako hesabu F NDIO SABABU UONE NI HELA MILIONI 15 ,WATU WANAMSHANGAA SABABU DOGO HAIONEKANI ALICHOKIFANYA SIO UKUBWA WA HELA AU WINGI WAKE LOH!!!!!!Labda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.
Jamani richard yuko moshi anajishughulisha na kilimo..which is the best things...kilimo ndo kila kitu