Richest Pastors in the World/Africa

watu mpaka wakija kushtuka kuwa dini ni plan za wachumia tumboo watakuwa wameibiwa snaaa
 
Ni bora mtu ubaki kwenye Uislam ama Ukatoliki, cjawahi sikia Masheikh ama Mapadri kwenye hii michuano ya kipuuzii.
 
Dini zishakuwa business siku hizi....Watu wanachotafuta ni ulaji.....
Unachezea hadi Jamaa wa Original Komedi anataka kuwa Pastor



Duh,hivi ni kweli,je HAKUNA MASKINI WA KUWASAIDIA HUKO NIGERIA!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…