Richie: Bongo Movie Kuna mashoga

Wengi wanajichubua na wamelegea ila kumjua kma volkswagen n ngumu aseme ni kina nani
 

Wapaka poda
 
nani?????????????????

:tape::tape:
 
Kuna usafi wa mwanaume unapitiliza hadi anaelekea kuwa beautiful na si handsome tena!!!
 
Ikiwemo yy mwenyewe ni shoga naona anajisafisha kiaina
 
Ushoga uko kila sehemu, je ukiwa kwa ndugu yake au mwanae atamtenga? Muhimu km hafanyi yeye inatosha.Mambo ya kuondoka kisa ushoga atahama sehemu ngapi??
 
Watajen tuwazue sio kuzunguka zunguka. Lengo ni kujenga kama vpi mpeni majina mh. Tundu lisu awataje
 
Yule aliyeimba anarudi kimbiji nae hayuko bongo movie. Wema alilalamika anataka kumchukulia bwanake.
 
daaah narudia kauli yangu museveni angekua raisi wangu ila yani bongo movie wakiwa wanahojiwa unakuta dume zima pozi kama za wolper.
 
Kuwanyanyapaa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja ni kinyume na haki za kibanadamu!
 
Ushoga uko kila sehemu, je ukiwa kwa ndugu yake au mwanae atamtenga? Muhimu km hafanyi yeye inatosha.Mambo ya kuondoka kisa ushoga atahama sehemu ngapi??
Naaam Mrembo by Nature. Mimi sikutegemea hichiq kutoka kwa Richie labda kama ange wataja/kabisa lakini kufanya hivi
ni kuwa chafua wengine walio huko bongo movie.

Bongo movie kwa nini kwa pamoja wasi msue? Hivi ana uhakika gani huko aendako hakuna mashoga?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…