Richmond kutikisa Bunge

Kwa hiyo unataka kutuambia Zitto ni fisadi?
 
mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.

Ninyi ndio mnaotibu maumivu ya kichwa bila kujua kuwa ni kansa ya jicho inayosababisha.
 
Nikushukuru Mnyika ku2pa ufafanuzi hapa mkuu,ningekupatia wapi wakati mi nipo kagongwa kahama
 

Mujuni mimi nafikiri hapa lowasa haguswi ila serikali maana yeye adhabu yake tayari. Hapa wanazungumzia maamuzi ya bunge kwa nini hayajafanyiwa kazi, hivyo labda Pinda na JK wanaweza kuingia mtegoni zaidi
 
Hongera sana Mheshimiwa JJ Mnyika. Nadhani ungewashauri wabunge wenzio wa CDM kuwasiliana na wapiga kura wao kwa njia hii ya mtandao na kujibu maswali na hoja zao. Keep it up honorable Mnyika and I wish you all the best hapo mjengoni.
 
Uvivu wa kusoma historia!

na wewe ni great thinker pia?napata tabu kuamini hivyo kutokana na ulivyoandika,anyway watu humu tuko tofauti lakini ukweli utabaki pale pale haiyumkiniki kujaribu kutuamnisha sitta alitaka uwaziri mkuu bila kutueleza sawa sawa kati ya waziri mkuu na spika ni yupi anaanza kupatikana?kwa sababu mimi kwa huu ujinga wangu nilionao naelewa kwamba bunge ndilo linalomudhinisha waziri mkuu,na katika hali ya kawaida hakuna bunge linaloweza kukaa ili kuidhinishi jina la waziri mkuu bila ya kuwa na spika thats why nikauliza kwa hiyo sitta alitaka awe waziri mkuu na spika yeye mwenyewe?kama hapana kwa nini basi aligombea uspika wakati lengo lake lilikua ni uwaziri mkuu?je hakuona kwa kugombea uspika alikua anahatarisha na kuifuta ndoto yake ya kuwa waziri mkuu,hakulijua hilo kama unavyolijua wewe?
 
Uvivu wa kusoma historia!
 
Aliwajibika kutokana na nafasi yake kisiasa ambayo kitaalam huwa tunaita political responsibility. Una lingine?

ndio ninalo,unadhani ni kwanini alikimbilia kuwajibika wakati mwakyembe alimtaka "apime" tu?
 
Mheshimiwa kweli wewe ni jembe na upo kazini, naomba nikukumbushe kuwa kutokana na hiyo mitambo iliyoko Ubungo ina mikataba ya kifisadi maana hawa watu wanazidi kuchota Tshs 156,000,000,/=(USD$ 100,000) kila siku iitwayo leo!!!! Nakumbuka wakati Mheshimiwa Mwakyembe aliposoma ripoti ya RICHIMOND bunge liliamua kuwa mikataba ivunjwe na malipo hayo yasitishwe, sasa mbona mikataba imekuwa extended hadi leo imezaliwa SYMBION toka ufisadi wa RICHIMOND!!!!! Sasa nyinyi wabunge ambao ni vichwa vyetu vya kutunga sheria mnampango gani kulinasua taifa na huu wizi wa mchana unaomaliza taifa kupitia TANESCO???

 
Mujuni, hilo ndio dodoki la uhakika na maji ni JIK iliyochanganywa na parazon. Baada ya hapo EL atang'ara kama theluji, mchana atamulika kama jua na usiku atangaa kama mwezi huku akimeremeta kama nyota!.
Mkuu Pasco huyo mtu wako EL unataka ang'are aende wapi, kama alishindwa akiwa waziri mkuu kuzuia na kushiriki wizi wa RICHMOND unaofilisi taifa hadi leo nchi imebaki utupu akiwa Raisi nchi itakuwaje?????????
 
ndio ninalo,unadhani ni kwanini alikimbilia kuwajibika wakati mwakyembe alimtaka "apime" tu?
Kwani Mwinyi alijiuzuru vipi uwaziri wa mambo ya ndani? Kwani alienda kwenye gereza kule Shinyanga kuua! Aliwajibika kutokana na makosa ya maafisa wa chini yake. Lowassa alipima upepo na akakuta watendaji wa chini yake wamefanya blunders thats why akastep down.Rejea kikamilifu ripoti ya Mwakyembe ilivyoainisha makosa ya waziri mkuu.
 
Vipi Zero Brain umestuka nini boss wako wataguswa ulidhani mambo yamekwisha, ndio sasa yameanza sumu na tindikali mtamwagia wangapi?????????
 
ndio unaokusumbua sio?sasa kwanini unakua mvivu wa kujisomea hiyo historia?unazo sababu zozote labda
Wacha nikudokezee kidogo wewe idiot! Sitta aliutaka sana uwaziri mkuu toka mwanzo [ kama unakumbuka hawa walikuwa katika kundi moja the so called "wana mtandao" ]. Lakini JK alimprefer EL zaidi kuliko 6. So 6 akashauriwa akagombee uspika tu and then watamsupport. So tokea hapo 6 akawa na kinyongo na Lowassa. It was a planned process and not an overnight phenomena. Try to think big idiot mkubwa wewe.
 

Huwa una cooked drama kwenye mada zenye maslai kwa umma.
 

Wewe utakuwa ni GenitalsBrain.........na sijui kama we Mtanzania au wa nchi jirani......................
 
Wewe ni mgonjwa karibuni tutakupeleka Mulago sorry Muhimbili sijui kama madaktari wapo ili upimwe brain yako!!!!!! Mheshimiwa amekuja na hoja ya msingi wewe unatia maji!!!

 
Mkuu THE ROMANTIC je wabunge wa CCM watakuwa tayari kujifunga mabomu wapige kura ya kutokuwa na imani na Raisi????

 
Ivi hamjui ata kupanda kwa bei za umeme ivi punde Richmond inahusika?
Sasa mtu anayeonda hii sio issue ya kuiibua upya atakuwa naishi nje ya nchi.
Kila kitu kimepand kisa 40% increment ya TANESCO na ukiuliza ni kupanda kwa gharama za uendeshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…