Kama hayo ni ya uhakika basi huyu Lowasa hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumikumi ,ni mtu ambae amekalia udanganyifu ,kiasi cha kumfanya Muungwana kupoteza dira kwa kumwamini na kumsifu ,ama kweli zimwi likujualo halikuli likakumaliza ,mpaka leo Muungwana anamsifu mtu huyu ambae inaonekana ni muangamizaji kwa kuchumia tumbo lake.Afikishwe kwenye vyombo vya sheria haraka ili ijulikane iliyoiva na iliyokuwa mbichi.