Rick Ross afuta picha zote za Diamond Platnumz kuna nini??

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260

Staa wa muziki kutokea nchini Marekani Rick Ross leo January 26,2018 amechukua headlineskatika mitandao ya kijamii baada ya kujulikana kafuta picha zote za Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram.



Rick Ross amewahi kumpost mara mbiliDiamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, post zote zikihusiana na ishu ya ubalozi wa kinywaji cha Belaire mwezi September 2017.







Maswali yamezidi kuwa mengi kutoka kwa mashabiki baada ya Rick Ross kutofuta picha za kinywaji cha Belaire na kuacha picha yaHuddah Monroe ambaye pia ni balozi wa kinywaji hicho kutokea nchini Kenya lakini post za Diamond pekee ndio amefuta.

Nini kinaendelea kati ya Diamond na Rick Ross? ikumbukwe tu Rick Ross na Diamond Platnumz wameshafanya kazi pamoja katika wimbo wa Waka Waka ambao ulifanyika nchini Marekani.
 
Americans they don't give a shit.... (kidding)

ishu ya kufuta nadhani ni maswala ya mkataba may be alichotakiwa kufanya na dai na kukishare kimeshafika mwisho kwa hiyo lazima asafishe page yake....
ujue wenzetu wapo seriuos sana hasa unapokuwa public figure,,, kuanzia living standard zao, wanavyo-socialize, kampani zao , kwenye social maedia zao vitu wanavyoshare n.k.
Tuje kwenye ishu ya Rick kufuta post za dai, nadhan ni mkataba umeisha tu na yule akaunti yake ipo kibiashara zaidi sio kama ya huyu mswahili anapost vitu visivyoeleweka, unaweza kukuta picha za birthday ya babu tale.... management yake haimsimamii vyema
 
Nadhani walikua kibiashara zaidi na ameshamaliza yake basi ni kawaida kumfuta,wenzetu wanaijua sana biashara ya muziki ila wabongo tukiona Saida Kalori kapostiwa na Beyonce tutaanza kelele kua Beyonce anamkubali sanaaaaa Saida kumbe amevuta mpunga wa kumtangaza na siku zikitimia ukimuuliza Beyonce kuhusu Saida Kalori anaweza kukuambia SIMJUI MTU UYO na hatanii eti anabaki tu Saida Kalori kila siku kumposti Beyonce ili tujue wao ni mtu na shosti wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…