Rick Ross afuta picha zote za Diamond Platnumz kuna nini??

Yaani page ya Rick Ross, kafuta picha za mtu ambaye sio page yake imekuwa headline?? Dah!
 
Yeye mbona hamposti hata kuonyesha anashabikia wimbo wao.. yupo bizi na wa Lavalava tu tangu.. angemiz labda ingemtia moyo.. nae ajione anatangazwa East Africa.. eeeeh. Na kinywaji pia haposti ka wao..

Pia haswaaaa labda.. watu.walijaza mikomenti isiyo na kichwa wala miguu kwa aliyoyaposti.. alivamiwa na watu hawakuacha kutia neno hadi amezi archive
 
Ndoa za wapendanao huvunjika itakuwa marafiki na biashara kachoka kavunja ushirika napicha pia kafuta
 
Ricky yuko kibiashara Diamond yupo na Mapenzi tu.

Angeitangaza hata kidogo nayeye angefarijika.
 
Muda wa hela zilizotolewa wa picha za mond kukaa kwenye IG ya rozee umeisha.

Wamarekani sio wenzenu kabisa. Wanajua wanachokifanya
 
diamond wiki hii mbaya kwake huku rickross kafuta picha zake, huku mdogo wake tunda kasema hadharani kwa shilawadu kuwa siku aliyoenda wcb alilala na dai kitanda kimoja. kama naiona vile ile safari ya kwenda south kwa magoti
 
Hela waliyolipa kurushwa kwenye page ya rozay umekwisha waongeze Mpunga warushwe tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…