Rick Ross afuta picha zote za Diamond Platnumz kuna nini??

Atakua kaskia ishu ya kumla Tunda, si ni majirani na Mange huyo richforever?
 
Nasikia Bi Sandra alimnyima mzigo Rickross hasira kazihamishia kwa Mond
 
hata mimi posts zao zote nimefuta,hao jamaa wanazingua sana! siku ile nimefuta za trump basi watu wakaanza kujiuliza km wewe hivi wabongo bwana
 
Hiv wale wa kina sk na babu tale kwa Diamond na yule jamaa baunsa wana shughuli gani kwake? Usikute wana michezo michafu ss hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…