Rick Ross amezua utata baada ya kusema kapokea zawadi jicho la tatu

jjackline

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
111
Reaction score
274
Video ya utata kutoka kwa msanii mkubwa wa mziki huko marekani Rick Ross, amezua utata baada ya kusema kuwa amepokea zawadi ya jicho la tatu, nimemnukuu "mimi ni illuminate hata huyu ni illuminate na hii ni zawadi kutoka shule ya kuruka anga, hii ni zawadi ya jicho la tatu kutoka illuminate

Your browser is not able to display this video.

 
Hivi kuna watu kweli wenye akili timamu wanamsikiliza huyu mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…