Rick Ross anunua APC (Armoured Personnel Carrier)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Wanasema mchawi pesa aisee. Wakati mtu unapambana upate hata ka corolla namba A, Bwana Erick MwaiRoS (Rick Ross) ameonesha umwamba baada ya kununua gari ya kijeshi Aina ya APC. Sasa sijui la kazi gani kwa huyu mwamba.




[emoji2][emoji2]
Your browser is not able to display this video.



[emoji2][emoji2]
 
huyo ni Eric Mwakalosi, ila ka slang kamemsaidia kupata neno Rick Ross
 
Mchawi Pesa.

Mi mkwanja ukanikalia vizuri, naweka ndani hiki kidude:

 
Hiyo APC ipo mounted na weapons zake? APC bila weapons sio APC,sheria zipoje kwa wenzetu mtu kumiliki silaha za kivita kubwa kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…