Rick Ross anunua nyumba ya Evander Holyfield yenye vyumba...

Vyumba 109 ni vya nini sasa?au labda anafamilia ya kutosha.
 
na rick akifilisika atamuuzia mwenye hela za mchezo and so on and so on,akili za watu weusi zina mavi.
 
ulitaka hizo hela alie bata? nyumba ni asset

Tatizo hapa ni aina ya nyumba. Vyumba Zaidi ya mia vya nini? Huu ndo ufala. Si bora angejenga hotel ikawa inaingiza hela. Sasa pesa zote hizo unaweka chini, unafikiria nini. Hardly utatumia vyumba vi 5 tu, the rest ni upotevu. Pia ujue jumba hilo kila siky litatumia mamilioni kulihudumia. usafi, ulinzi n.k
 
Atakua kanunua guest na c nyumba ya kawaida.
 
ngoja mie niendelee kujificha kwenye kibanda changu
 
Du Rozay hapo akifanya hotel itamuingizia pesa sana eneo la acre zaidi ya 100.......YMCMB Double M we rich 4ever uh!
 
Kuna msemo au falsafa ta kiuchumi kuwa jinsi kipato kinavyoongezeka ndipo pia matumizi yanaongezeka. Kwa upande wa Rozay kipato chake bila shaka kitakuwa kikubwa kwa sasa. Na source zake za kifedha ni kupitia mikataba yake na Reebok,ciroc,movies n.k
Jamaa anamiliki migahawa ya Wingstop. Anamiliki label ya muziki,kinywaji. Na pia mikataba mingi mikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…