Rick Ross avunja nyumba yake yenye thamani ya Billion 88

Rick Ross avunja nyumba yake yenye thamani ya Billion 88

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Waswahili wanasema "Pesa ni Sabuni ya Roho" na wengine wanasema "Pesa ndio furaha ya kweli".

Rapa Rick Ross amedhihirisha hilo baada ya kuvunja Mjengo wake wenye thamani ya $35M sawa na Bilioni 88+ za kitanzania na kuanza kuujenga upya.

ANGALIA VIDEO HAPA


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Back
Top Bottom