mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Hahah!!Bila shaka muda huu Mond bin laden yuko kwny flight to Miami kwenda kumpa support his hommie
Akaombewe tu pepo la kifafa limtoke, mashine za oxygen hazitoi mapepo wajameni!Apunguze uzito
Hahahaha na kweliAkaombewe tu pepo la kifafa limtoke, mashine za oxygen hazitoi mapepo wajameni!
Wabongo hufikiri kuwa USA hamna mapepo huko! ?Hahahaha na kweli
haaahhha hii kaliAkaombewe tu pepo la kifafa limtoke, mashine za oxygen hazitoi mapepo wajameni!
Akili za wana Nissan NyeupeWamtoe tu ili a balance nature
Masamva yamemkaba rick [emoji84] [emoji84]haaahhha hii kali
Mi naamini mapepo yapo kila mahali duniani haluna sehemu iliyo salamaWabongo hufikiri kuwa USA hamna mapepo huko! ?
Huko ndo home kwa mapepo [emoji84] [emoji84] [emoji84]
Upo sawa mkuu, hata magogoni yapo mapepo.Mi naamini mapepo yapo kila mahali duniani haluna sehemu iliyo salama
Huko ndio usiseme unaweza kukimbia usipokuwa makiniUpo sawa mkuu, hata magogoni yapo mapepo.
Duuh!Huko ndio usiseme unaweza kukimbia usipokuwa makini
Yashangaza lakini ndio ukweliDuuh!
Nadhani ndio maana wakazi wa magogoni hawampendi Bishop kakobeYashangaza lakini ndio ukweli
Nimefurahi kukuona.Rest In Peace Ricky , we will miss you