Rick Ross kalazwa hospitalini huko Miami na yupo kwenye life support

Nilipoona kichwa cha habari nilifikiri ni Freeway wa South Central (then) LA kumbe unaongelea huyo wannabe wa Miami?
 
Aliposikia Halleluya inaweza fungiwa akaanguka au?? Nijuzeni niko kijijini
 
Kasha tolewa kwny mashine 3 hours ago
Hawa watu wa karibu sometimes sio wa kuwaamini,nakumbuka hata weasle aliandika ktk inst wall yake kwamba moses radio hayuko katika koma,ana nafuu ataruhusiwa soon kiendelea na mishe zake na anaongea,matokeo yake mtu akavuta muda mchache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…