Rick Ross na Trina mwaka 2002

hizi kazi,hivi inakuagaje mnawafahamu majina actress wa poka
Mimi ni mpenzi mkubwa miziki ya Magharibi, na huwa napenda kufuatilia historia za hao wasanii. So katika kuchimbachimba nikajua kwamba Trina aliwahi kuwa pornstar.

U feel me ?
 
Trina she is one of the dope mcs na kitu ninachokipenda, alikuwa anamuheshimu Rozay since wayback. 2002 Trina alikuwa hottie sana na Rozay alikuwa hajatoka kabisa, kipindi hicho Rozay ni underground rapper na mwandishi wa Muziki.
 
Trina Ni mwanamke mrembo Sana, izo make ups na mawigi feki yamempotezea mvuto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…