RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA


Kwa hili naomba niitetee bodi ya utalii,hapa tatizo ni huyu Rick Ross alitakiwa ajielimishe Kilimanjaro ni nini kabla ya kuongea pumba zake.

Justine Timbarlake alijuaje kama Kilimanjaro ni mlima mpaka akatoka Marekani kwenda mpaka Moshi kupanda?
Kwani yeye JT anaishi Tanzania na Rick Ross anaishi Marekani au..
 
All self proclaimed hard core hip hop-ers (including rick ross) are just a bunch of bitchez. They portray themselves as hustlers while in fact they are fukcing cowards. All they do is to mislead naïve minds of teenagers. In their lyrics they pretend to be anarchists while in reality they are good law abiding suckers.
 
ulikuwa jela?..unajua kwa nini wazungu walitengeneza google,wikipedia?
aaagh miafrika bhana

Mbona Saint Ivuga unanishangaa kumuuliza huyu Rick Ross? Kwa nini mpaka nipoteze muda ku google wakati ww unamfahamu na unaweza kunielezea!
 
Kwanini watu wanafikiria jamaa katudharau badala kufikiria kwamba jamaa hajui tu kutokana na ukweli wa kwamba wengi wao hawajui mambo mengi ya kimataifa.

Wao wanajua kuhusu nchi yao tu na wengine pia hawajui mambo mengi kuhusu nchi yao.
 
Ricky Rozay thats My Nigga right there. Bawse #MMG
 
 

Kula tano mkuu.
 

tupac was the opposite of it
 
Aaaaaaaah hiyo Mikita haina akilia haijasoma haikus chochote'rick Ross Akili Kapata wapi!hata jog raffia hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…