RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

tupac was the opposite of it

2Pac is one in the million. He walked the talk and meant what he said. I admire also MCs the likes of KRS1 etc whose lyrical content is as a good as reading Plato's treatises.
 
Huyu jamaa amedhihirisha kuwa yeye ni zero kichwani. Japo amejua kuwa ni Mlima ila bado hajapenda kudadisi na kuuelewa zaidi.

Angezaliwa bongo, angekuwa muokota makopo. Mvivu wa kutumia akili zake.
 
Huyu jamaa amedhihirisha kuwa yeye ni zero kichwani. Japo amejua kuwa ni Mlima ila bado hajapenda kudadisi na kuuelewa zaidi.

Angezaliwa bongo, angekuwa muokota makopo. Mvivu wa kutumia akili zake.

wewe ungezaliwa US ungekuwa jenator.
 
Rozay aka Big Meech Larry Hoover is one of his own in today's rap/hip hop. Curtis dis him as 'officer Ricky'. TTB should up their advert campaign.
 
Wanadai pusha wa rick ross ni mtoto mmoja wa kiarusha anauza vitu vya meru miami kwa obama pande za state........mzigo wake anaita kili sheets.........so dogo amejitaidi sana kuutangaza mlima wetu kwa watarii wa mataifa mbali mbali wanaotembelea kwa obama......maana nasikia mzigo umebamba sana............ukiingia miami ndumu kali ni toka tanzania product name yake kilimanjaro.....so rick ross imembangua sasa amejikuta akiropoka.
 
Sijui watu wanakasirika nini tu. .
At least jamaa kasema ukweli wake na
hata akirudi huko ma kwao atawapasha habari wenza..

Haya iko kila kona ya hizi social networks.
Hata wale wasiojua wengi watakuwa wafahamu sasa ..

Hata kama kitu ni kubaya kiasi gani lazima
kuna kitu kizuri ndani yake .

Ila binadamu kama binadamu tunapenda
Ku concentrate na kupoteza nguvu nyingi
Pasipo..
 

hakuna hoja hapo!!!

kawaida ya wamarekani wengi ni kuwa huwa hawajishughukishi sana na mambo ya nje ya marekani...huyu jamaa is not an exception.

wakati Bush anagombea urais kwa mara ya kwanza back in Yr 1999, katika moja ya debates aliwahi kuulizwa kama anaifahamu Gambia....NEHI, majuzi hapa Hilary Clinton alishindwa kutamka jina la pili la Rais wa Urusi wakati huo ambaye kwa sasa anaelekea kuondoka madarakani Bwana Medvedev.....aliishia kujing'ata ulimi na mwisho akasema whatever.

MY TAKE:
Tuhangaike na yetu, tuachane na ya hao jamaa, wajibu wa kuwaelimisha ni wetu si wao. kama hiyo Kilimanjaro ina thamani kwetu basi na tuitangaze na si kuishia kulaumu watu kwa kutoifahamu wakati si la ajabu hilo..tangu hapo huko majuu kilimanjaro yajulikana ipo Kenya sasa gubu la nini???
 

Tell that sh*t to Malice of the clipse, lil boosie, gucci mane, Fab, Maino, yung Jizzy, yo gotti, C-Murder, Shyne, and Cassidy and they'll most def bus' a cap in yo a**, just to prove to you how hard they are... this are real gangsters, most have been to prison for murder or attempted murder, or being slinging rock for ages and there street cred is real.. if this aint gangsta to you, then I dont know what is.

... Ricky rozzay, thats a bawse right there
 
Kumbe amekuja böngo kuvuta bang aina ya kilimanjaro
 
hahah.. And he gonna smoke it. i dont accept this former coup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…