RickRoss atamani kufanya Collabo nyingine na diamond

RickRoss atamani kufanya Collabo nyingine na diamond

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Tarajia Kolabo Nyingine Kali Kutoka Kwa Rapa Wa Marekani #RickRoss aka (Eric mwalyosi) (@richforever) Pamoja Na Simba [emoji881] diamondplatnumz Baada Ya "Waka Waka" Ya 2017

#RickRoss Katika IG Story Yake Ame-Share Video Akiwa Na CEO Wa Belaire @brettberishceo Na Kusema Kwamba Anampango Wa Kufanya Project (Ngoma) Na Wasanii Wakubwa Barani Afrika Kama Vile diamondplatnumz, @stonebwoy N.K "Tunataka Kufanya Project Kubwa, Itakayozingatia Africa, Katika Nchi 12 Tofauti, Tunataka Watayarishaji (Producers) Wazuru Na Na Wasanii Wakali" - Rick Ross Je, Unaitamani Kolabo Nyingine Ya Rick Rosa Na Diamond?

[emoji3578] Tresor Nondo
1706892025934.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mabwana wawili wakutana kumchambua demu wao kwenye songi moja la mahabba, hivi Stonebwoy ndiye nani?
 
Back
Top Bottom