Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoodJaza dumu la lita3, halafu limwagie kwenye dumu la lita5.
Jaza tena dumu la lita 3, jazia tena lile dumu la lita 5, tutabakiwa na lita1 kwenye dumu la lita3.
Mwaga dumu la lita5, kisha jazia zile lita 1 zilizobakia kwenye dumu la lita3.
Dumu la lita 3 litakuwa tupu, jaza maji humu halafu mwagia kwenye dumu la lita 5.
Utapata lita 4 kwenye dumu la lita 5 na lita 0 kwenye dumu la lita 3.
Naomba nikupe mji nikikosa. [emoji6][emoji6][emoji6]