Riddles (Vitendawili)

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Nipo kwenye Kisima cha Maji
Nina madumu mawili, moja lina ujazo wa lita 5 na lingine lina ujazo wa lita 3
Nitawezaje kujaza moja wapo kwa lita 4 kamili?
 
Jaza dumu la lita3, halafu limwagie kwenye dumu la lita5.
Jaza tena dumu la lita 3, jazia tena lile dumu la lita 5, tutabakiwa na lita1 kwenye dumu la lita3.
Mwaga dumu la lita5, kisha jazia zile lita 1 zilizobakia kwenye dumu la lita3.
Dumu la lita 3 litakuwa tupu, jaza maji humu halafu mwagia kwenye dumu la lita 5.
Utapata lita 4 kwenye dumu la lita 5 na lita 0 kwenye dumu la lita 3.

Naomba nikupe mji nikikosa. [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…