Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Mb) Mhe. Ridhiwani Kikwete atakuwa Mgeni rasmi kesho Jumamosi Juni 08, 2024 kwenye Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Seneti ya Mkoa wa Morogoro katika Chuo cha Jordan kwenye Ukumbi wa Jordan Hall.