VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Kwa nafasi yako,utajiri wako haramu na kufanya kazi kwako,tafadhali utakapokwenda kulipa deni lako la pale Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu,ukanilipie na mimi.Ifahamike kuwa Ridhiwani Kikwete amehitimu tangu 2005.Fedha ulizotuibia na unazoendelea kuiba zitumie ipasavyo.Lazima ukanilipie.Vinginevyo utajuta kuwepo kwenye orodha ambamo nami nimo..
Basi na sisi hatulipi.
Mie silipi hiyo hela hata kidogo,kwanza wakinikata hela itabidi tufatilie ile hela ya epa yote imeenda wapi?
Basi na sisi hatulipi.