Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

Emil Mwangwa

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
124
Reaction score
24
Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari.
Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
 

Attachments

mmmhhh mabwaku ngoja tuone sijui itakuwa nayo ni upepo tu..
 
mmmhhh mabwaku ngoja tuone sijui itakuwa nayo ni upepo tu..

hahahaa sometimes upepo hua unagoma kupita ila kwenye hili lazima upepo upite hata kama ni kupuliza kwa mdomo lol!
 
Duu!! Huyu ridh1 si ameoa, au anafata nyayo za faza... Kweli wazee ya musoga nomaa..
 
Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari.
Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!

Komba nae alitajwa inamaana huyu mtotn alikuwa jamvi la wengi hivyo?
 
Jamani mi naona imetosha, kila siku Lulu, Kanumba jamani tumuache marehemu apumzike,

Lulu awe alimuua au hakumuua huu ni wakati wake wa kutafakari upya maisha yake jamani tumpe nafasi mana kila siku kwenye magazeti hakuna aliyemkamilifu watu hujifunza kupitia makosa tuiache mahakama itaamua.Hata wazazi wake wanasomo la kujifuza hapo kila kitu kina sababu na Mungu ndie anaejua kwa nini haya yatokee.

Ujumbe kwako Lulu usiyumbishwe na maneno mengi, usimtegemee binadamu yeyote kwa cheo wala kwa fedha Mtizame Bwana Yesu huyo ndiyo jibu tosha atakutoa ulipo atakupeleka atakako yeye ni mwaminifu wana maslahi binafsi tu hao.
 

mbona kwenye hii thread sijaona habari za kanumba??mi nimeona kuhusu riz1 na gari ya lulu..au wewe unachangia uzi mwingine?
 
Ikiwa ni hivyo huyu Lulu hajala tawi langu tu. Ngoja atoke mahabusu, inaonesha ana asali ya kipekee.

Kila siku, mara Komba, mara Nunda, mara Rizwan, nashangaa Mbowe hajatajwa mpaka sasa.
 

kama kuna la kuzungumzwa lizungumzwe,PRINCES DIANA AMEONGELEWA SANA,Y N0T KANUMBA AND LULU?
 
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne

Uwe na adabu unapopost vitu vinavyohusu imani za watu...This is shame...kama hujui uliza...uislam ndo dini pekee inayotoa adhabu kali kwa watu wanaoendekeza mahawara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…