King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ikiwa ni hivyo huyu Lulu hajala tawi langu tu. Ngoja atoke mahabusu, inaonesha ana asali ya kipekee.
Kila siku, mara Komba, mara Nunda, mara Rizwan, nashangaa Mbowe hajatajwa mpaka sasa.
Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari.
Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
Mkuu Mbowe kakufanyaje wewe maana kila post yako lazima ummtaje hata ukichangia kwenye MMU.
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne
wee ndo makalio kweli usifananishe uislam na upumbavu wako
Hivi hapa Tz ulishaona nani kapigwa mawe au bakora kama unavyojisifia hapo? Au haijawahi kutokea Waislamu wakawa na makahaba/mahawara nchi hii? Na kama sio kuhalalisha uzinzi tu kwa kupitia mlango wa nyuma, iweje mwanaume mmoja aruhusiwe kuwa na wake wanne? Je, wanawake wa Kiislamu mbona nao hawaruhusiwi kuwa na wanaume wengi? Dini zingine bwana, kazi kweli kweli!FYI uislam hauhalalishi mtu kuishi na makahaba/mahawara, na adhabu yake kama una mke basi upigwe mawe mpaka ufe, na kama hujaoa upigwe bakora 100 katika hadhara ya watu na utangaziwe kama wewe umezini! Ukome tena kukashif dini, uislam umeweka njia ya halali kuoa wake wanne, kama huna uwezo mmoja tu, ni vema mumeo akaoa kuliko kuwa anatembea na makahaba nje kama afanyavyo mumeo/bf wako. Ushazoea kuishi na mpenzi akakutest kwanza, ukafanya nae ngono, akakupa mtoto kisha baadae ndo mkafunga ndoa, dini gani ilofundisha ivo? Sifikiri kama uyahudi na ukiristo ndo unavotaka ivo!
usikebeh IMANI ZA WATU MARY,
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne
Hivi hapa Tz ulishaona nani kapigwa mawe au bakora kama unavyojisifia hapo? Au haijawahi kutokea Waislamu wakawa na makahaba/mahawara nchi hii? Na kama sio kuhalalisha uzinzi tu kwa kupitia mlango wa nyuma, iweje mwanaume mmoja aruhusiwe kuwa na wake wanne? Je, wanawake wa Kiislamu mbona nao hawaruhusiwi kuwa na wanaume wengi? Dini zingine bwana, kazi kweli kweli!
ni muislam ana haki ya kuwa na mahawara wanne
Uwe na adabu unapopost vitu vinavyohusu imani za watu...This is shame...kama hujui uliza...uislam ndo dini pekee inayotoa adhabu kali kwa watu wanaoendekeza mahawara...
kwa hio unataka kusema kuna mtu anayetakiwa kulaumiwa badala ya rizwani?Kama Ridhiwani anahusika na kifo cha kanumba, basi Ridhwani ni innocent
Soma kwanza attachment zangu ndipo utakapo gundua hekima ipo kwa nani vinginevyo hujui taifa linakwenda wapi?Bwana Lusambo ni mtu mwenye busara lakini leo busara zako zote zimelowa na mchuzi wa kahawa, habari kama hizi za umbea huwa zinapelekwa kwa mama ntilie au wanakochoma vitumbua sio hapa jamvini for Great Thinkers. Tafadhali usirudie tena utumbo huu leo tunakustahi.