Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

Kanumba naye angekuwa hai tungemsuta kama ni Lulu tu aliyekuwa lulu ya kweli kwake au kuna zaidi aliokuwa nao baada ya kuigiza kuwa kweli.
 
Yaani maneno ya huyu mwenzetu ni kweli tupu mbele za Mungu na kwa LULU. Lulu amtazame YESU kwa sasa na asisikilize ya watu amuombe sana Mungu maana anampenda licha ya kwamba anachukia dhambi. Sisi sote tunaoangalia haya yote ni kuandika tunadahmbi zetu mbali mbali na MUNGU ndiye anayetufahamu. Kwahiyo kama kuna ndugu wa LULU anayesoma habari hizi mbali mbali amwambie LULU kwamba kwa sasa AMTAZAME YESU NDIYE PEKEE ANAYEWEZA KUMPATIA FARAJA NA KUMPATIA NGUVU KATIKA HALI NGUMU INAYOMKABILI KWA SASA.
NI JAMBO GUMU KUTAFAKARI KWAMBA KWENDA KWAKE KWA KANUMBA KUMESABABISHA MAUTI YAKE. ATUBU DHAMBI ZAKE NA AMWOMBE MUNGU AMSAMEHE KUTOKANA NA TENDO LAKE HILO NA KISHA ATAPATA AMANI NDANI KWENYE MOYO WAKE NA MUNGU ATAFANYA NIA KWAKE AMBAYO YEYE HAIFAHAMU KWA SASA NA HATA SISI HATUIFAHAMU.
ASANTE
 
Mwendelezo wa haya unatokana na kuibuka mambo mapya ambayo yalikuwa bado siri. Vinginevyo leo tusingejua kama kulikuwa mahusiano kati ya Lulu na Ridhiwan Kikwete kufikia hadi Lulu kununuliwa gari.
 
Sijaui shwain ni huyu alietoa statement kuwa muislam anaruhusiwa mahawara wanne au hawa wanaomtukana??
Ingekuwa busara mumuelimishe kuwa muislam safi anaruhusiwa KUOA hadi wake wanne na sio kuwa na mahawara
 
mbona kwenye hii thread sijaona habari za kanumba??mi nimeona kuhusu riz1 na gari ya lulu..au wewe unachangia uzi mwingine?

Fungua attachment unganisha na heading yake utakuwa na jibu.
 
Mwendelezo wa haya unatokana na kuibuka mambo mapya ambayo yalikuwa bado siri. Vinginevyo leo tusingejua kama kulikuwa mahusiano kati ya Lulu na Ridhiwan Kikwete kufikia hadi Lulu kununuliwa gari.

Binafsi sishangai haya kuibuka na yataendelea kuibuka mengi, pengine mengine yanaweza yakatawaliwa na hisia tu mana hata hili pia halina ushahidi.

Mwenendo wa huyu binti kila mtu alijua mwisho wake utakuwa mbaya kila mtu aliyepata habari zake alimuonea huruma mana athari za matendo yake alikuwa hazioni sasa Mungu amemuonyesha basi kwa ubinadamu tu tumpe nafasi kama mdogo wetu tumpe somo ili akipata nafasi ya kurudi uraiani asirudie tena makosa aliyofanya awali.
 
Sijaui shwain ni huyu alietoa statement kuwa muislam anaruhusiwa mahawara wanne au hawa wanaomtukana??
Ingekuwa busara mumuelimishe kuwa muislam safi anaruhusiwa KUOA hadi wake wanne na sio kuwa na mahawara
Lulu sio mke ila ni kahaba, Wote Kanumba na riz1 wanacheza na makahaba huku wao wakiwa fusika
 
Lulu amutazame yesu yupi??????????maana imani yake ndiyo hiyo imemufikisha hapo Fani yake ni huo usanii uliokubaliwa na Rais Kikwete ambaye anaongoza ncj kisanii!!
 
Lulu amutazame yesu yupi??????????maana imani yake ndiyo hiyo imemufikisha hapo Fani yake ni huo usanii uliokubaliwa na Rais Kikwete ambaye anaongoza ncj kisanii!!
Mwizi alipata ukombozi pale msalabani kwa kumtambua YESU dakika zake za mwisho.
 
ally kiba,komba,kanumba,ray,waziri msukuma,riz 1 and the list goes on........

.....halafu huyu mwendazake pamoja na kwamba alikuwa mbakaji mwasherati mtupa watoto cheater lakini pia na fani ya uuaji...natamani angekuwepo leo hii.
 
Lulu amutazame yesu yupi??????????maana imani yake ndiyo hiyo imemufikisha hapo Fani yake ni huo usanii uliokubaliwa na Rais Kikwete ambaye anaongoza ncj kisanii!!

usihukumu nawe utahukumuwa, kwa kipimo kike kike ulichipima nawe utapimiwa........ From maandiko
 
usihukumu nawe utahukumuwa, kwa kipimo kike kike ulichipima nawe utapimiwa........ From maandiko
Yataje hayo maandiko!!!!!!!!!
Usije ukawa kama wale wanao sema Kikwete Chaguo la Mungu na leo hii wana sema huo ni upepo unapita!!!
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI!!!!
MSHAHARA WA WIZI WA MAWAZIRI NI KUVUNJA BARAZA NA KUWAPELEKA MAHAKAMANI WEZI ,HUU SIO UPEPO UNAOPITA !!!
HII NI NGUVU KUBWA YA KUING'OA SERIKALI!!
SASA UZINZI NI DHAMBI !!!!! ANGALIA ZINAA WANAYOSAMBAZA WASANII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…