figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya kuvulia Samaki na majengo ya Ofisi kuratibu shughuli zao. Mh. Naibu Waziri ameyasema hayo alipokuwa ziarani Katika kijiji cha Saadani na Bagamoyo Jana akifuata na Naibu Waziri wa Uchukuzi Ndg. Mwakibete .#KaziInaendelea
#ChalinzeYetu
#ChalinzeYetu