Au diamond alimchukulia dem wake nini?
.Bendera kama emblem ya Taifa haitolewi kwa footballers pekee na Mh Nape sio waziri wa mpira wa miguu pekee bali michezo kwa ujumla hivyo michuano ya CHAN inahusisha burudani ya muziki na Diamond kualikwa kama mburudishaji Ni heshima kwa Taifa
Ok..TZ FOOTBALL FAILURES
Kina Shakira walipewa bendera!!!!Mimi sijui Tanzania mnataka nini?
Hivi mbona sijawahi kiwasikia marekani wakiwasimanga kina Shakira world Cup?
Kwani wakati wa fanali za Euro 2016 ,wafaransa hawakumsimanga yule mfaransa mtengeneza beat(jina nimesahau)
Natumaini jamaa akitumbuiza vizuri Viwango vyetu kwenye FIFA vitapanda.HAHAHAHAHAAnaposema bendera badala ya kupewa wanamichezo wanapewa waburudishaji sijaelewa! Kwani wanamichezo sio waburudishaji?
Maoni yake kama mdau wa soka,maoni hayo yametolewa na mtanzania mmoja jana nilimsikia akihojiwa EFM
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu