Ridhiwani Kikwete Kusimamia Usalama wa Taifa

Hawa watu ni wapuuzi na hawajui hata kula na vipofu na ulafi wao ndio umelifikisha Taifa hapa na tusipoangalia watatuangamiza

Wanachuma huko Janga kulileta hapa ili tuwasaidia kulitafuna - Ni kama wanafuka moshi unaofuka kwa majani makavu.....
 
Watanganyika tuna bahati mbaya Sana. Sijui tulimkosea nini Muumba Wa Mbinguni na Nchi
Muumba unataka awafanyie nini? Unataka awatume malaika waje wapambane na jeshi la abdul?
 
Not yet kusimamia, kwa mfumo wa nchi ulivyo almost wixara nyingi huwa zinapata taarifa kutoka taaasis nyeti
 
Nilidhani sheria mpya iliwaondoa huko utwala bora na kuweka kwa rais moja kwa moja. Yaani hao jamaa wakifanya ushetani basi ujue rais ndiye aliyewatuma moja kwa moja.
Na wana nguvu kinoma hawagusiki. Maana kwa mtanange wa kipindi hiki wenye nguvu nchii kwa sasa ni wao TISS, wanafatia Jeshi la polisi then JWTZ
 
Hiyo wizara, waziri kamili ni Riz1, waziri kivuli ni Abdul.

TUMEKWISHAAAAAAA!!!
 
Sheria mpya za usalama wa taifa ilibadilisha hiyo siri za nchi zinaenda kwa watu wawil tu boss wa tiss na raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…