Ridhiwani: Mpango huu unakwenda kutengeneza wakina Mama Samia wengi, akagua ujenzi wa shule Chanika

Ridhiwani: Mpango huu unakwenda kutengeneza wakina Mama Samia wengi, akagua ujenzi wa shule Chanika

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua ujenzi wa shule ya Sekondari inayojengwa katika Kijiji cha Msolwa kilichopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani mapema leo Jumatatu Machi 07, 2022.

“Mafanikio haya yanakwenda kutengeneza Wakinamama Samia wengi siku zijazo” amesema Mh. Kikwete akiishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi Milioni 600 zilizowezesha kujenga Shule hiyo ya Sekondari ya Msolwa.

Kazi Inaendelea Chalinze ili kuendana na kasi ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kutaka Kazi Iendelee.

ed5befe66c8e427fa6aa75397c930c86.jpg


 
Back
Top Bottom