SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 822
Umoja wa wanyakyusa waishio jf
wanasikitika saaaana kwa kitendo cha baadhi ya wazee wasanii wa kinyakyusa kwa uamuzi wao wa kumsimika mtoto wa rais kuwa chief wa wanyakyusa, ili hali wakijua kabisa kuwa sio kila mnyakyusa ni mfuasi wa ccm,
kitendo hichi kimetudhalilisha saana na kuonekana wote ni wajinga kuliko watani wetu wanyaluu ambao wamemtimua huyo risiwani mwakikwete.
tunachukua nafasi hii kuwahakikishia wana jf kuwa wanyaki bado tupo mbele ktk mapambano dhidi ya chama cha mafisadi.
Hatuwaachi wana jf mikoni mitupu sisi ni wakarimu saaana.....hivyo
karibuni kyai kya lukama kya moto nkikombe kya kyuma..!
ndaga pijo na malori
Ni kweli kabisa,
Nakubaliana na mtoa hoja. wale wazee waliompa uchifu ni wasanii kwani hawana mandate ya kufanya hivyo.
Sisi wanyaky tutaendelea kupambana na mafisadi kama kawaida yetu.
Se se seee, ikyana kya risiwani, eti kiwe chifu cha wanyakyusaa, haiwesekani, buleee?
hahahahah...! aaseeeeeee...! mweeeeeee mweeee mweeeee..! mbombongafu