Ridhiwani na Mwalimu wake

Ridhiwani na Mwalimu wake

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
mwalimu.JPG

Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
 
Very nice photo I will -plan a visit to my former primary school to take a similar photo what an appreciation...
 
kitanda cha mwalimu kimeniacha hoi....Salma ana bahati angekuwa na yeye analalia kama hicho
 
a very nice picha, huyu mwalimu anaonekana ni wale walimu wenye wito, safi sana Ridhiwani, hata kama ni siasa basi hii nimeipenda, watu wachache wanakumbuka walipotoka.
 
Maana ya maisha bora kwa kila mtanzania inaonekana kwenye hivyo vitanda vya huyo mwalimu. Lakini mbona kama anafanana na Riz One? Hivi mama yake Riz One yupo hai?
 
mwalimu.JPG

Ridhiwani Kikwete akiwa na mwalimu aliyemsomesha darasa la kwanza 1987 katika Shule yaMsingi Matangini Mwl. Sophia Makong'o, alipomtembelea nyumbani kwake mjini Nachingwea. Kulia ni mtoto wa Mwl. Makong'o, Husna, ambaye alisoma naye Ridhiwani darasa la kwanza katika shule hiyo.
So what???
 
Maisha bora kwa kila mtanzania na vitanda vya teremka tukaze !
 
Kicheko hiko ni cha kinafiki sana! Inaonyesha ni jinsi gani serikali ya CCM inayoongozwa na Baba Yake ilivyoshindwa leta maisha bora kwa watanzania walio wengi hata walimu na wafanyakazi wengine. Tanzania bila Kikwete Inawezekana.
 
kaenda kumsanifu au kafuata demu,hebu tujuze mkuu.
Naona kama vile anaonyesha maisha ya watu ambao baba yake hataki kura zao na ndio maana maisha yao (yetu) yako hivyo
 
Kaenda kuomba kura ya baba tu,hakuna lolote.Hapo alimwachia kiasi cha pesa labda Tzs.10000 basi.Siku zote alikuwa wapi????
 
Watu wamepigikaaaaaa, huku wengine wana preach maisha bora kwa wote.
 
Back
Top Bottom